Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

Mwambie akure ushahidi Ngorongoro imeuzwa kwa nani na shs ngapi akikupa nitagg
Mkuu hata wewe mwenyewe ushauzwa siku nyingi bila kujijuwa

Ngoja siku mwenye Mali akianza kudai Mali zake utajuwa..

Ni Jambo la muda tu..
 
Mzanzibari ndiye anawauzia waarabu ardhi ya wamassai
 
Kitu ninacho amini
Wamasai wanatakiwa wapungue ngorongoro ili kutunza mazingira na hakuna plan b ya kuwaacha
 
Mkuu hata wewe mwenyewe ushauzwa siku nyingi bila kujijuwa

Ngoja siku mwenye Mali akianza kudai Mali zake utajuwa..

Ni Jambo la muda tu..
Mimi sio mjinga kama wewe kuamini nadharia zako za kusadikika hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…