Mzazi adai kuwa na mashaka ya kifo cha binti yake kinachodaiwa kusababishwa na sumu, alikuwa akiishi kwa siri na mwanaume anayedaiwa kuwa mwanajeshi

MIN-me unakera na like zako bwana
 
Kama ni kweli kavuna alichopanda.
Kwa nini alifanya siri?
 
Leo kwa mara ya kwanza analaumiwa marehemu.
Hapo angekuwa hai angejitetea nini kwa mfano?
Siyo mahari au ndoa ni kumtambulisha tu kwa wazazi mtu anaye ishi nae.
Yeye na huyo mjeda wake wote wana makosa. Mjeda kaenda mbali zaidi kakosa utu kwanini asepe? Lazima afikiriwe vibaya hata kama hakuna baya alilofanya.
 
Yeye na huyo mjeda wake wote wana makosa. Mjeda kaenda mbali zaidi kakosa utu kwanini asepe? Lazima afikiriwe vibaya hata kama hakuna baya alilofanya.
Mjeda ana kosa.
Marehemu alipokuwa hai na sisi tuliobaki yaani binadamu yeyote timamu linapofika suala la usalama wako unawajibika wewe mwenyewe kwanza.
Wenza kutambulishana ni suala la usalama pia.
 
Tayari kuna kianzio hapo..
1.Sababu ya kifo sumu
2. Mtu aliyemleta hospital
 
Hii hali inaogopesha kwasababu kuna binti kanafunga chuo cha ualimu tarehe 21 sasa lengo langu nikaburudike nae kwa likizo yake yote ya wiki 2,, sasa ikitokea akanifia huko hotelini sijui nitafanyaje
Kikubwa uhakikishe utimamu wa afya yake. Mabinti wenye matatizo ya upumuaji ni kukaa nao mbali mita 100! Au wenye vifafa
 
Tema mate chini bruh...
Wengi tumepita njia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…