Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kutoka Kijiwe cha Ubungo, David Julius analalamikia wingi wa michango katika shule za serikali, hali inayosababisha ugumu wa Maisha na kutofautiana na uhalisia wa kipato cha Wananchi.
Ahsante kwa taarifa, nitalifanyia kazi hilo mkuuKutoka Kijiwe cha Ubungo, David Julius analalamikia wingi wa michango katika shule za serikali, hali inayosababisha ugumu wa Maisha na kutofautiana na uhalisia wa kipato cha Wananchi.