Mzazi anahusika katika hili!

Gibrielly

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Habari zenu wana jf nadhani mko poa hoja yangu hapa ni kuhusiana na matokeo mabaya ya form four 2012 . Watanzania wengi wana ona au wanachukulia kuwa ni serikali lakini ifahamike kuwa wako wanafunzi waliotoka vizuri tu japokuwa skulls zao tu ni za goverment .
Tuje upande wa wazazi lawama nyingi naona zingedairektiwa kwao kwa kuwa mwanafunzi yuko nae lakini hataki kumwuliza kuhusu habari za shule na hili tatizo liko kwa wazazi wengi.

Utakuta mwanafunzi ameanza one mpaka anaua four bt mzazi hajawahi kuangalia atleast madaftari yake anaishia tu kusema kazana mwanangu Maisha magumu . Mwisho wa siku mwanafunzi akifeli utasikia Unaona umefeli kwa uzembe wako utaki kuniomba hela ya tuition mi nilikuwa nakuangalia tu. Sasa shika jembe twende ukalime!
Wana jf tutafika kweli tuendako?
 
Tatizo sugu ni mfumo m'bovu wa elimu nchini.
Mzazi atalaumiwa kwa kuwapigia kura watawala kila baada ya miaka mitano anawarudisha madarakani ingawa wanavurunda.
 
Kabla ya kumlaumu mtu yeyote ni lazima nijiulize mimi binafsi nimehusika je kusababisha madhara yaliyotokea. Halafu nijiulize nifanye nini kuzuia tatizo hili la kufeli lisitokee tena. Unapojiuliza ndipo utakuja fahamu kuwa ni organs gani unapaswa kushirikiana nazo kufanikisha lengo lako la kubadilisha hali. Kulaumu laumu kila siku haisaidii. Sio lazima uwasaidie wanafunzi wote Tz, unaweza kuanza na wale ulio karibu nao kwa kukaa nao na kuzungunza nao na kuona namna ya kuwasaidia. M-tz(Kuiweka serikali madarakani, kufuatilia ktk level ya mwnfz mmoja mmoja), Serikali(Kupanga mfumo wa elimu na kuuwezesha, kuusimamia), Mwalimu(Mtekelezaji, coordinator of learning), Mwanafunzi(Mtendewa au Mhusika mkuu). Hizi organs zinategemeana; M-Tz & Serikali, M-Tz & Mwl, M-Tz & mwnfz, Mwl & Serikali, Serikali & Mwnfz, Mwl & Mwnfz, Serikali & M-Tz. NI LAZIMA TUONE CONNECTION ILIYOPO KATI YA UPANDE MMOJA NA MWINGINE NA ZINAVYOHUSIANA KUFANIKISHA UTENDAJI BORA. Huwezi kumlaumu mzazi huiache serikali au mwl au mwnfz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…