Habari zenu wana jf nadhani mko poa hoja yangu hapa ni kuhusiana na matokeo mabaya ya form four 2012 . Watanzania wengi wana ona au wanachukulia kuwa ni serikali lakini ifahamike kuwa wako wanafunzi waliotoka vizuri tu japokuwa skulls zao tu ni za goverment .
Tuje upande wa wazazi lawama nyingi naona zingedairektiwa kwao kwa kuwa mwanafunzi yuko nae lakini hataki kumwuliza kuhusu habari za shule na hili tatizo liko kwa wazazi wengi.
Utakuta mwanafunzi ameanza one mpaka anaua four bt mzazi hajawahi kuangalia atleast madaftari yake anaishia tu kusema kazana mwanangu Maisha magumu . Mwisho wa siku mwanafunzi akifeli utasikia Unaona umefeli kwa uzembe wako utaki kuniomba hela ya tuition mi nilikuwa nakuangalia tu. Sasa shika jembe twende ukalime!
Wana jf tutafika kweli tuendako?