Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Habari!
Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi).
Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao
Hali hii imenitia wasiwasi sana juu ya mienendo ya vijana wetu wa kike na wa kiume katika jamii ya sasa.
Vijana wamejua mambo ya.kikubwa katika umri mdogo sana hali ambayo imesababisha wao kutembea na waume za watu na wengine wake za watu, either kwa tamaa za fedha ama wengine tamaa za kimwili.
Nimefuatilia kwa ufupi kuhusu huyu binti japo kwa sura tu anaonekana ni binti under 20 yrs kabisa.
Binti kama huyu mpaka kufikia hatua hii nzito ya kubeba mume wa mtu, ni laana na fedheha kwake na kwa wazazi wake.
Ndugu wana JF sitetei kwa namna yoyote ile kitendo alichofanyiwa, La Hasha!
ila najaribu kuwakumbusha, msifurahie kuona watoto wadogo wanamiliki vitu vya Gharama pasipo kujua walipovitoa.
Msipowafuatilia nyendo zao na kuchukua hatua, basi matukio kama haya hayatakwisha kabisa