Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo.
Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano walikuwa wakiamini, tunavyopiga vyombo na kwenye kuhonga nitakuwa hivyo hivyo.
Wengine walikuwa wakijilengesha ili wapate ujauzito, ili wanikamate kisawa sawa; kwa bahati mbaya hawakujua equation x ni baharia.
Hii imepelekea kuwa na watoto kadhaa nje ya ndoa, ila mama zao walipokuja kugundua huyu equation x si yule waliokuwa wakimfikiria, waliamua kujiweka pembeni; ingawa kwenye mahitaji madogo madogo huwa nawatumia pale ninapokuwa na kiasi.
Siku za karibuni mzazi mwenzangu aliniomba kiasi fulani cha salio, kwa kuwa sikuwa na hicho kiasi kwa muda ule, nikawa nimemuahidi baada ya muda fulani nikifanikisha nitamtumia.
Baada ya kama wiki hivi, nikawa nimefanikisha ila sikumwambia. Kuna siku nikamshtua, nataka jumamosi nije nimsalime mtoto; akanijibu sawa, na uje na matumizi.
Kufika jumamosi, nikapiga safari mpaka mkoa aliopo; nikatafuta nyumba ya wageni iliyo nzuri na utulivu, ili mrembo afikie kwenye mazingira mazuri, kwa sababu nilijua atamleta mtoto aje amsalimie baba.
Baada ya kuoga na kupata supu kidogo, nikampigia simu nimefikia sehemu fulani, naomba umlete mtoto amsalimie baba.
Akanijibu hawezi kufikia nyumba ya wageni, vinginevyo tukutane eneo la wazi; kwa sababu hakujiandaa kwa mchaka mchaka.
Nikajaribu kumsihi, akakataa kabisa.
Nikaangalia kwenye begi langu salio ambalo nilitaka kumpa, nikaona haviendani na hayo maigizo yake. Kwa sababu lingeniwezesha kupata ng'ombe watatu wakubwa ambao wangenisaidia kupata maziwa uzeeni.
Ikabidi nijilaze kitandani huku nikitafakari hiyo hali, ilipofika saa tatu usiku, nikatoka chumbani nikakabizi fungua na kuwaambia naenda kiwanja kunywa nitachelewa kurudi.
Nikatafuta kijana wa boda muaminifu anizungushe viwanja vyote top 5 vya mkoa huo; muhimu nilitaka kupata 'vibe' tu
Kila kiwanja nilikuwa sizidishi chupa nne, ili niweze kuvizungukia vyote; ilipofika saa 8 usiku nikaingia kiwanja namba 1; watu walikuwa wengi, ulinzi wakutosha, watoto wazuri wazuri wapo.
Nikatafuta muhudumu awe ananihudumia na ahakikishe pale naondoka salama, mimi nikiagiza na muhudumu anaagiza zake anakunywa; kwa sababu ni muhimu kufurahi na marafiki.
Mara mdada mmoja akanivutia, ikabidi niende mezani kwake, tukaanza kupiga vyombo, akamwita na rafiki yake; ikawa nivyombo tu.
Kwenye hiyo meza tulikuwa tumekaa wanne, warembo wawili, equation x na mhudumu. Baada ya kutosheka kunywa, nikalipa bili nikawaomba wale warembo wawili wanisindikize nilipofikia; wakakubali.
Tulipofika, tukafunguliwa geti, wote wakaingia chumbani. Ikabidi tupumzike, ikawa shoo shoo; equation x katikati pembeni warembo.
Ukigeuka kulia shoo, ukigeuka kushoto shoo.
Kwa ujumla walinipunguzia machungu sana, ya mzazi mwenzangu kunitelekeza ugenini.