Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

Dada wa watu kawaomba ushauri ili ajikomboe kwa balaa lililomkuta, ila wadau ushauri mnaompa, yani mnamuongezea matatizo, msongo wa mawazo, na kumkaanga kabisa.

Nyie mnaweza mkamfanya mtu hata anywe sumu aise.[emoji18]
 
Kwanza huyo Baba watoto ni falasi, ningekuwa mimi nadhani kwa sasa hivi ungelikuwa unasimulia kutoka kuzimu!
 
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

kama cjaelewa hyo last line yule jamaa
mtaendelea kwa siri na wAkat huo unahtaj msamaha wa mume!! u cant be serius!!
Hayupo serious kabisa...... Yaani sijawahi ona mwanamke kiazi kama huyu
 
The other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.

kama cjaelewa hyo last line yule jamaa
mtaendelea kwa siri na wAkat huo unahtaj msamaha wa mume!! u cant be serius!!
Yanihuyu aachwe tu,bado anampango wa kuendelea kusalit na still anamba kurudi kwa mume wake.stupid woman
 
Unataka usamehewe na bado unaendelea kucheat. .jinga sana
 
Dada wa watu kawaomba ushauri ili ajikomboe kwa balaa lililomkuta, ila wadau ushauri mnaompa, yani mnamuongezea matatizo, msongo wa mawazo, na kumkaanga kabisa.

Nyie mnaweza mkamfanya mtu hata anywe sumu aise.[emoji18]
tatizo lake hajakubali kuachana na huyo mtu aliyefumaniwa nae, yy anataka vyote kwamba asamehewe na mume wake lakini yule mwengine wataendelea kwa siri sana, huyu dada ni boya.
 
Ndo bas tena ushamwaga ugali na yy anatafuta bakuli la mboga amwage baada ya hapo mtarud kama mwanzo
 
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana started to date someone well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi tukajikuta tupo very close habari ikamfikia baba watoto akafanya upepelelezi.
Jana kanisuprise akatukuuta live tunakula kimahaba.

Hakusema kitu akaniambia naomba ufunguo wa gari nikampa akaondoka baada ya mda akamtuma kijana akalifata gari lake
mie ni geologist ninalipwa hela nzuri sana kampuni ninayofanyia kazi baba mtoto anaheshimika na anasikilizwa sana hapokei simu yangu,wala msg kaniambia kitu kimoja hela zinakuzuzua.

Nahisi anaplan vitu vingi sana ikiwemo kuniachisha kazi,biashara nlizokuwa nasimamia najua tayari keshantoa nifanyeje nimfanye anisamehe na asahau tuwe kama zamani the other man tutaendelea kwa siri sana maana nayeye katishiwa maisha.
Duuh
 
Mchore TATOO yake kiunoni

Jiongezeee
 
Back
Top Bottom