Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa unaweza kupewa mupesa mingi halafu ukawa hukunwi kunakotakiwa........
sa katafuta mukaka wa kumukuna
Navyo fahamu mimi ndoa haipo tena, hakuna ndoa tena ukikutwa unapandwa na mwanaume mwingine ambae si mme wako.
hahahaaa unaweza kupewa mupesa mingi halafu ukawa hukunwi kunakotakiwa........
sa katafuta mukaka wa kumukuna
Hivi wewe umerukia kujibu bila kusoma nilicho andika. Kweli hapo kuna vifaranga kweli kweli.hivi kwanini mnakuwa wagumu kuelewa.
huyo mwanaume si mme wake.yeye ni mshika pembe tu.
tusileteane utani hapa do u love ua husband????????????????nijibu hapo kwanza theni nikupe mbinu...
mkuu kama hununui basi chukua bure:smile-big:Kuna watu lazima wakamatwe kwa nguvu na wapimwe akili.
Hizi adithi huwa sinunui.
kwani ni mumeo au ni mume wa mtu ulikwiba tu:tinfoil3:yes i do.
Cooked story!!
Hata hivyo mi nasema upigwe chini tu' au atafute bastora afanye maamuzi magum!!