Mzazi mwenzangu anataka kumbadili dini mtoto wetu

Mzazi mwenzangu anataka kumbadili dini mtoto wetu

ahsanteni sana ndugu zangu kwa mawazo yenu...nimejua njia sahihi ya kuchukua,mwanzo ilinisumbua sana lakini sasa hivi nimepata utulivu kidg kwenye hili[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wewe ndio Baba, ndio kiongozi na Mlezi Mkuu wa Familia. Kama ww ni Muislam na unaona kabisa kua mwanao anataka kubadilishwa dini, basi ujue unabeba jukumu kubwa sana kwa Mola wako na ujiandae kwa hilo. Usikubali mwanao aharibiwe dini yake na Akhera yake.

Mchukue Mtoto wako umlee kwenye Misingi ya Uislam, Umsomeshe amjue Mungu wake na namna ya Kumuabudu.

Kwa Taarifa yako (Kama hujui) hapa duniani hakuna neema kubwa ambayo Mungu kampa binaadamu kama neema ya Uislam.
Acha utumwa wewe dini za waarabu zidikupe headache
 
Ukiona sababu ya dini upendo baina ya ndugu unaanza kupoa basi jua huyo ndio shetani haswaaa,
Hebu achana na dini bro wewe zingatia malezi na matunzo sahihi kwa ajili ya mtoto,
Zidisha upendo na kujali familia yako hizo dini hazina shida yoyote ukiamua zisikuhangaishe
 
Wewe ndio Baba, ndio kiongozi na Mlezi Mkuu wa Familia. Kama ww ni Muislam na unaona kabisa kua mwanao anataka kubadilishwa dini, basi ujue unabeba jukumu kubwa sana kwa Mola wako na ujiandae kwa hilo. Usikubali mwanao aharibiwe dini yake na Akhera yake.

Mchukue Mtoto wako umlee kwenye Misingi ya Uislam, Umsomeshe amjue Mungu wake na namna ya Kumuabudu.

Kwa Taarifa yako (Kama hujui) hapa duniani hakuna neema kubwa ambayo Mungu kampa binaadamu kama neema ya Uislam.
kwa mujibu wa uislam wako uko sahihi ila kwa asiye muislamu hayo maneno kwake ni kama takataka
 
Kwa Taarifa yako (Kama hujui) hapa duniani hakuna neema kubwa ambayo Mungu kampa binaadamu kama neema ya Uislam.
Kwanini? Mi najua hapa duniani neema kubwa kuliko zote ni utajiri, ikifuatiwa na uongozi
 
Apa mi naona wote wamebwabwaja tu, pengine hayaja wakuta, sisi sote tulio Coment asilimia kubwa tumekulia kwenye misingi ya dini za baba zetu,. Na siku zote mtoto hufuata kwa baba, hata wewe ulio comments angalia details zako zote ni kutoka kwa baba... Wewe mwenyewe unayesema dini zimeletwa.. Pia una dini yako hio hio ilioletwa na unashiriki, na mwanao pia anashiriki... Yaani jamaa sina uhakika kama karidhishwa na haya majibu.. Ila fresh tu ni mawazo ya watu
 
Back
Top Bottom