Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Iko hivi mzaz mwenzangu ambae tuliishi kwa mda ikitokea mfarakano akapata dume jingine tena bila kunitaarifu.
Siku za mwanzo wa magusiano yake alinipiga block hata yakumuona mwanangu na hela yamatumizi yamtoto pia aliniambia ukisikia toa usipojisikia acha.
Lakini now haipiti wiki ananipiga virungu Mara mtoto anaumwa Mara hivi mpaka shida zake binafsi
Nimpotezee au nimpige company