Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
Sikiliza mama boke miye nilikwambia kipato changu hakiko vizuri tuache mtoto asome shule za serikali tusilazimishe mambo kisa miye na kipato wewe ukaforce mtoto asome private ona Sasa unakuja nishitaki JFNaomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule
1: mzazi mwenzio watoto wake wanasona shule zipi?Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule
Ada ya wapi wakati Elimu ni bureee!!Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule
Inawezekana kabisa mambo ya maex hayo Sasa Mtoto amezaliwa ndani ya ndoa ila wakaachana Mtoto haajanza hata shule ndoa ya Muda mfupi hiyoukute wakati mnatengana ulimporomoshea matusi/maneno mazito na kumsengenya kwa ndugu, jamaa na marafiki zakooo. Ukaishia kumwambia ... "huna lolotee mwanaume suruali kwanza una kibamiaaa...." kumbe kuna kijamaa kilikuwa kinakupa kiburi akijifanya anaweza kukusaidia kifedhaa. na jamaa nae vyuma vimekaza ndo waanza mtafuta mzazi mwenza kwa kasi ya 4 G
anyway fuata taratibu utapata stahiki yakoo
Hii ndo itakua ina 1 year na huyu mwanamke huenda ndo matatizo yenyewe. Ingekua jamaa ndo chanzo kwa asili ya hawa viumbe angetililika hapa, humu pasingetoshaInawezekana kabisa mambo ya maex hayo Sasa Mtoto amezaliwa ndani ya ndoa ila wakaachana Mtoto haajanza hata shule ndoa ya Muda mfupi hiyo