Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Ukweli ni kwamba kila mtu anataka mwanae apate a better start, hivyo nyie mnaomwambia sijui shule ni free mjifikiri au labda sio wazazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akienda mahakamani akasema anataka mwanae asome elimu bora private school, mahakama ikamuuliza una ushahidi kua shule za serikali hazitoi elimu bora, unadhani atajibuje?Ukweli ni kwamba kila mtu anataka mwanae apate a better start, hivyo nyie mnaomwambia sijui shule ni free mjifikiri au labda sio wazazi.
Hata hakimu mwanae kampeleka private school,hawezi kumuuliza swali hilo atakuwa hypocrite.Akienda mahakamani akasema anataka mwanae asome elimu bora private school, mahakama ikamuuliza una ushahidi kua shule za serikali hazitoi elimu bora, unadhani atajibuje?
Yeye ana kipato huyu yeye hana kipato cha kutosha. Unadhani itakuaje?Hata hakimu mwanae kampeleka private school,hawezi kumuuliza swali hilo atakuwa hypocrite.
Swali si ni kama Shule za serikali ziko vizuri kushinda private, nimekwambia hakimu hawezi kumuuliza swali kama hilo wakati mwanae na yeye yuko private school, sana sana hakimu atapambana kwa kuona mtoto ndio mhanga na ana deserve kupata elimu bora hivyo atamsupport huyu mama.....mkuu acha kunibana ...😆Yeye ana kipato huyu yeye hana kipato cha kutosha. Unadhani itakuaje?
Hiyo beta start ndio alivyoshauriana na Mzazi mwenzako au anataka afosi king baada ya mambo kukwama?? Kama anafosi king kupitia mahakamani anaweza akakwama, kama kulikuwa na kauli za mtoto nitamlea mwenyewe hawezi nishinda Seb linaanzaga hapaUkweli ni kwamba kila mtu anataka mwanae apate a better start, hivyo nyie mnaomwambia sijui shule ni free mjifikiri au labda sio wazazi.
mambo yamekwama ama hayajakwama, ukweli ni kwamba kuna mentality kuwa shule hizi za English Medium ni nzuri kwa watoto na yeye anataka the best for mwanae,na mimi sioni tatizo, mpaka kulileta humu labda anajua mzazi mwenzake anazo hela anabana tuu....mimi nakushauri mtoa mada uende mahakamani,ila jiandae kama kucheza sadakalawe,kuna kukosa na kupata... 😆Hiyo beta start ndio alivyoshauriana na Mzazi mwenzako au anataka afosi king baada ya mambo kukwama?? Kama anafosi king kupitia mahakamani anaweza akakwama, kama kulikuwa na kauli za mtoto nitamlea mwenyewe hawezi nishinda Seb linaanzaga hapa
Ndiyoo English medium ziko vizuri.mambo yamekwama ama hayajakwama, ukweli ni kwamba kuna mentality kuwa shule hizi za English Medium ni nzuri kwa watoto na yeye anataka the best for mwanae,na mimi sioni tatizo, mpaka kulileta humu labda anajua mzazi mwenzake anazo hela anabana tuu....mimi nakushauri mtoa mada uende mahakamani,ila jiandae kama kucheza sadakalawe,kuna kukosa na kupata... [emoji38]
Ndiyoo English medium ziko vizuri.
Kwa hiyo hata kama kipato hakiruhusu, Ndo ufosi kusoma English medium au show off tuu
Nachelea kusema lakini kauli za "hunibabaishi wewe na huna lolote" zinaudhi sana na watoaji wa kauli hizo yakishawakuta wanasahau kuwa kauli zao hizo ndizo zinawafanya waangukie huko!Independent woman
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Kweli kabisa wanawakimbiza watoto shule za ghali wakikwama ada huko wanakuja kutusumbua kuomba ushauri wakati elimu ni bureMtafutie shule ya serikali
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.
Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Mmekutana ma"bush lawyers"(kumradhi kama Kuna lawyer original). Ligi yenu imenivutia lakini naona kama unataka kujitoa kiaina vile. Ha ha hahahaha AAA!Swali si ni kama Shule za serikali ziko vizuri kushinda private, nimekwambia hakimu hawezi kumuuliza swali kama hilo wakati mwanae na yeye yuko private school, sana sana hakimu atapambana kwa kuona mtoto ndio mhanga na ana deserve kupata elimu bora hivyo atamsupport huyu mama.....mkuu acha kunibana ...😆
Kwani shule za serikali hazina better start?Ukweli ni kwamba kila mtu anataka mwanae apate a better start, hivyo nyie mnaomwambia sijui shule ni free mjifikiri au labda sio wazazi.
Kwani shule za serikali hazina better start?
Kama hana hela za kumlipia ada,mtoto asikose haki yake ya msingi ya kupata elimu,asome shule zenye elimu bure.