sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,001
Ni jumatatu nyingine, salaam kwenu.
JF nimoja Kati ya majukwaa ya kijamii ambalo nadiriki kusema limesheheni karibia watu wa kada/tasnia zote zilizomo humu duniani. Namaanisha Kuna watu wenye uwezo mkubwa wakufikiri, wengine uwezo wakati,uwezo wachini na wengine hawajijui kuwa wapo kweny kiwango gani chakufikiri (fuata mkumbo).
Mara nyingi kumekuwa namaneno yakejeli kwa walimu huku wengi wakiliona kundi hili lawafanyakazi Kama kundi lenye uwezo mdogo wakufikiri.Wanaliona kundi hili Kama kundi lenye dhiki Sana na pengine wanaliona Kama kundi ambalo linasababisha magumu kweny jamii.
Kipindi cha uchaguzi utasikia walimu ndo wametuchagulia hawa viongozi wabaya.
Kwenye interview za sensa utasikia walimu mwaka huu watakoma hawapati kitu.
Nyongeza ya23% utasikia walimu mwaka huu watachanganyikiwa. Kwa kifupi kila mfano mbaya wa watumishi huwa unapelekwa kwa walimu.
Wakati mnawalaumu kumbukeni Hawa watu hawajatoka nyumban kwao nakwenda shuleni kufundisha, noo. Wamepikwa nakuiva vizuri San kwenye vyuo mbalimbali. Miaka2 ama mi3 chuoni unamwitaje huyu mtu kipaza asee.
Nchi yetu Ina matatizo mengi yanayosababishwa nawatumishi ambao sio walimu,hayo hamuyaoni?
Niwakumbushe wazazi, katika nchi yetu hii bado msaada wakielimu kwa mwanao' unawahitaji San Hawa walimu ambao leo unashinda kweny mitandao kuwaponda.Angalau nchi zilizoendelea wanaweza kuwa namifumo yautoaji elimu bila kumtegemea mojakwa moja mwalimu wa darasani, kwetu bado!
Unatukana mtu eti "wewe nikilaza Kama walimu" alafu asubuhi unamuamsha nwanao awahi shuleni, unajielewa kweli ndugu mzazi?
Kwanini hamtaki kuwapa heshima yao tu hata kwa kukaa kimya kuliko kuwasema Hawa watu muhimu?
Juzi mtu mmoja humu alitaja makundi yake yawatumishi aliyodhani Wana uwezo mkubwa wakufikiri. Alitaja Kama kada5 hivi Ila kundi la walimu akaliweka mwisho kabisa.Mtu huyo anawatoto ambao wanategemea walimu Kweny safari yao ya kielimu.
Nawashauri mbadilike jaman, mkiona kundi hili suo lamuhimu bas peleken muswada bungeni lifutwe..Ndio, kusiwe na walimu kwenye nchii hii ili mumtafute mchawi mwingine wa maendeleo yenu.
NB: Mimi sio mwalimu
Wasalaam!