mzazi wangu anataka kuzulumiwa shamba la baba yake

mzazi wangu anataka kuzulumiwa shamba la baba yake

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
111
Reaction score
38
iko hivi marehemu babu yangu alikuwa na shamba la ekari 30 na ndipo yalikuwa makazi yake miaka 1940 na amewazika baazi wa wanae hapo.akahama yeye pamoja na mke wake yaani bibi pamoja na mwanaye yaani mama akiwa na miaka sita huku nyuma baada ya kama miaka 20 akatokea mtu na kulivamia shamba lake.kati ya jirani yake anayepakana naye akafunga safari kwenda kumwambia ikafanyika kesi babu akashinda ikabidi amkabizi mke wa yule aliyeenda kumtaarifu amlindie shamba lake yaliyotokea yule mama aliyekabiziwa akaja achika na mumewe na kufukuzwa ikabidi shamba libaki kwa mume yule mzee akajimilikisha shamba yeye na mkewe mwingine na watoto zake inamaana walikuwa wadogo.Tatizo linapoanzia yule mzee akaja kufa tena kifo cha gafla kama miaka mitatu iliyopita na wanae wameozi shamba wanadai la baba yao.na babu yangu alishafaliki kama miaka 18 iliyopita sasa nifanyaje wazazi wapate haki yao lakini yule mama aliyekabiziwa shamba na marehemu babu bado mzima na yuko upande wa wazazi wangu.Kesi iko kwenye baraza la ardhi la kijiji
 
Kama wapo walio kuwepo wakati usuluhishi wa kwanza unafanyika tofauti na huyo mama watafutwe waongeze ushahidi vinginevyo hiyo kesi ni ngumu.
 
Back
Top Bottom