Utaratibu wa kumfungulia mtu kesi, kuendesha kesi, na kuhukumu ndani ya Vikao vya CCM bila ya kumsikiliza umeanza siku nyingi sana na Muasisi wake ni Julius Kambarage Nyerere. Nyerere hakuwa akijiamini katika muundo wa Serikal 3 ndio sababu mara zote hakuruhusu mjadala alikuwa akifukuza au kutishia kufukuza wanaoleta Mjadala wa hoja hiyo.
1984 Aboud Jumbe hakuruhusiwa ku table hoja zake za Serikal 3 ili zijadiliwe kama ambavyo kina Njelu Kasaka na G55 yao walivyotaka kufukuzwa Chamani kama Jumbe kwa kosa la kurudisha Mezani hoja iliyomhukumi Uhaini Aboud Jumbe Mwinyi Mtoto wa Unguja Mkamasini!