Mzee Akilimali wa Yanga adai anatishiwa kuuawa

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Mzee akilimali amezidi kusema kuikodisha Yanga kwa mtu binafsi haifai kwa kuwa Yanga ni taasisi ya watu wengi amesema, pia mkutano wa Yanga ni mkutano wa kihuni kwa kuwa kila kitakachosemwa na mwenyekiti watu wanaitikia tu kwa kufuata upepo
Mzee huyo amezidi kusema pia anatishiwa maisha yake na maesharipoti kituo cha polisi magomeni
 

Huyu mzee hana hata Mbuni, lakini anasumbua balaa.
 
Soka LA bongo majungu ushirikina hakuna cha maana
 
Kala help za Manji hadi kachokwa. Sasa kapata mwingine was kumlia maana Manji kachoka. Uanachama wenyewe mpaka alipiwe na Manji huyo huyo.
Mzee huyu anaweza kuwa name hoja tatizo kila kitu anafanya kwa maslahi yake binafsi.
Hicho cheo chake cha Mwenyekiti baraza last wazee ni kwa mujibu was katiba ipi ya Yanga?
Ni vyema ajitambulishe kama mwanachama wa kawaida!
 
Taasisi ya watu wengi imeshindwa hata kujenga uwanja wa mazoez akili mali apewe yanga awe mfadhili mkuu asikodishwe.
 
Nawashangaa yanga,wanamkodisha manji atafanya miujiza gani?
Hakuna kazi rahisi kama kuzipandisha chati simba na yanga,nembo tu kwa mwaka b10,manji anawatapeli wavaa kandambili
 
Taasisi ya watu wengi imeshindwa hata kujenga uwanja wa mazoez akili mali apewe yanga awe mfadhili mkuu asikodishwe.
hakuna mwenye yanga,hao maponjoro wapewe tu hzo timu hata bure ziendelee
 
Hivi huyu Mzee hana watoto? Mbona hawamshauri Mzee wao anaaibika
 
Sasa hapo Si kutakuwa na mgongano wa kimaslahi?,yeye mwekezaji,yeye Mwenyekiti...rasimu Ina mapungufu kibao,Hawa wanasheria wa kibongo akina Mgongolwa na wenzake hawakuyaona haya?,Manji kahonga wote hao....
 
Nawashangaa yanga,wanamkodisha manji atafanya miujiza gani?
Hakuna kazi rahisi kama kuzipandisha chati simba na yanga,nembo tu kwa mwaka b10,manji anawatapeli wavaa kandambili

acha kujidanganya ww,unakumbuka mikia mcm uliopita walivyokuwa wanalia njaa?unafuu unao uona sasa hv mikia pale ni baada ya mo kutia hela.kupata faida bl10 kwenye mpira sio jambo la kitoto.
 
Huu uzi naomba ufufuliwe baada ya miaka kumi ijayo. Hakika nawaambia Manji kuirudisha Yanga lazima kutokee kesi kubwa sana, na wanayanga wanaweza kuipoteza Yanga mazima kupitia ujanja wa kisheria wa kutafsiri vifungu vya mkataba tajwa.

Huyu Manji aliuza jengo lake la Quality Plaza kwa NSSF pale Pugu road lakini amegoma kuhamisha ofisi zake na kodi halipi. Kwa ujanja wa kisheria amefungua kesi eti mauzo yale yabatilishwe na arudishiwe jengo lake!!

Huyu mtu ni hatari sana. Hakika nawaambia mwisho wa mkataba wa ukodishaji ataleta vikesi vya ajabu ajabu ili klabu iwe yake jumla.
 
Sioni kama kuna wanaoipenda yanga bali kila mtu anatetea maslahi yake au kulipiza visasi....
Hata hivyo mwenye uwezo wa kuendesha tim apewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…