Mzee Akilimali: Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria

Igeni namna ya kuongoza timu zenu toka kwa klabu bora Afrika mashariki na kati bila kusahau bara la Afrika AZAM FC
Azam FC haina uongozi bali wamiliki .. Pale hakuna cha bodi wala nini, kila kitu familia ndio wanahusika.

Na huo ubora wa Azam Fc ni upi hasa?
 
Umeongea ukweli mtupu broo.
 
Kama ali include jibu kwa swali
Ndio nnacho lenga.
Kwa hiyo unaweza hata kumuamini yeye.
Mtu ukimuuliza swali aka kuuliza tena pia ni jibu hilo.
BASI NGOJA NIKUULIZE SWALI TENA manji kaendesha klabu kwa hasara ya sh.bil11.6 na wakati aliikuta Yanga na deni la ml200

SASA WAMKUMBUKE KWA LIPI??
 
hivi suala la Hassan Kessy Ramadhan ameruhusiwa lini kucheza Yanga?? naona leo anaanza kwenye line up dhidi ya Toto Africa
Mnavyo ambiwa kuwa Yanga SC ni serikali muwe mnaelewa jamani....

Haya nendeni FIFA mkawaombe wampunguze Yanga Points!
 
Naona mnapaniki sana kuhusu Mzee akilimali.....

Mtake msitake Yanga ataichukua yanga.....
 
Mkuu utakuwa una tatizo la kumbu kumbu siyo bure
Nenda kapitie rekod za mechi zoote utajua.
Kwanza kumbe mda wote huu nabishana na shabiki la simba, shwain wee ebu kaongelee klabu yenu huko
 
Manji kafanya nini?, hilo deni wanalodaiwa Yanga limetoka wapi? Na Yanga imekopa kwa nani? Yeye pekeyake ndio analijua hilo deni?
Tangu manji aingie yanga huelewi kafanya nini!!?
Suala la deni ndio nimekubali hapo kakosea
 
BASI NGOJA NIKUULIZE SWALI TENA manji kaendesha klabu kwa hasara ya sh.bil11.6 na wakati aliikuta Yanga na deni la ml200

SASA WAMKUMBUKE KWA LIPI??
Deni lita define uongozi wa manji kama ni madhaifu yaliyo jitokeza
Ila haliwezi kukufanya useme mtu kakaa 4 yrs alafu awe hajafanya kitu, sasa kama hajafanya kitu bas klabu ingekuwa ilikufa, ni non sense ukisema hivo
 
Tangu manji aingie yanga huelewi kafanya nini!!?
Suala la deni ndio nimekubali hapo kakosea
Kaka hebu tuambie Manji kafanya nini Yanga? Hicho anachotaka kufanya sasa Yanga kwa nini hakukifanya miaka yote ndani ya Yanga, kwa nini anataka kukifanya nje ya Yanga?
 
Huyu yuko pan africa huko
Na alicho kifanya ni nini ambacho yanga imefaidika kisoka mpaka leo

Pan Africa vipi wakati katokea Yanga? We hujui Mangala kafanya nini Yanga?
 
Deni lita define uongozi wa manji kama ni madhaifu yaliyo jitokeza
Ila haliwezi kukufanya useme mtu kakaa 4 yrs alafu awe hajafanya kitu, sasa kama hajafanya kitu bas klabu ingekuwa ilikufa, ni non sense ukisema hivo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa si ndio uvitaje hvo vitu tutakavyomkumbuka navyo
 
Azam FC haina uongozi bali wamiliki .. Pale hakuna cha bodi wala nini, kila kitu familia ndio wanahusika.

Na huo ubora wa Azam Fc ni upi hasa?
Sasa wamiliki si ndo uongozi wenyewe mana anachagua bodi yake yeye mwenyewe na si wanachama..Uboro wa Azam FC haina migogoro kama ya timu ambazo zina umri wa babu,inajiendesha yenyewe kwa faida bila kukopakopa na ni timu inayoonyesha upinzani katika ligi kuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa si ndio uvitaje hvo vitu tutakavyomkumbuka navyo
Acha kunirudsha nyuma bhana Nilisha vitaja
We ndio umeshndwa kutaja kiongoz gan wa Yanga una mkumbuka now
 
Pan Africa vipi wakati katokea Yanga? We hujui Mangala kafanya nini Yanga?
Vitaje
Halafu tuone kama Manji naye alitakiwa avifanye halafu akashindwa
Kwa sababu hapa tunataka tuone kama Manji hajafanya kitu kabsa
 
Deni lita define uongozi wa manji kama ni madhaifu yaliyo jitokeza
Ila haliwezi kukufanya useme mtu kakaa 4 yrs alafu awe hajafanya kitu, sasa kama hajafanya kitu bas klabu ingekuwa ilikufa, ni non sense ukisema hivo
haaa!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kumbe yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…