Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Azam FC haina uongozi bali wamiliki .. Pale hakuna cha bodi wala nini, kila kitu familia ndio wanahusika.Igeni namna ya kuongoza timu zenu toka kwa klabu bora Afrika mashariki na kati bila kusahau bara la Afrika AZAM FC
Na huo ubora wa Azam Fc ni upi hasa?