Mzee Akilimali: Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mzee Akilimali amedai Yanga ni klabu kubwa na haiwezi kukodishwa kama masufuria ya kwenye shughuli kwa ajili ya kufaidisha mtu mmoja

===============
Habari Zaidi
===============

Siku kadhaa kabla ya kufanyika mkutano wa Yanga, Kamati ya Mwafaka ya Wazee wa Yanga imezungumza na waandishi wa habari kuhusu mfumo ambao mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji anataka autumie katika kuingia mkataba wa miaka 10 kuimiliki nembo ya klabu.

Katibu wa Kamati ya Mwafaka ya Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimalia amesema ambacho Manji anakifanya kinaweza kusababisha timu hiy ikaingia katika vurugu ambazo hazikuwepo kwa muda mrefu kwa sababu njia ambayo anatumia inawagawa wanachama na mashabiki kwa wengine kuutaka mfumo na wengine kuukataa.

“Hatutaki kurudi kule tulipokuwepo katika mgogoro wa miaka saba, mwaka 2003 ndiyo tukapata usuluhisho na kukubaliana kuwa litumike jina ambalo lilikubaliwa na waasisi wetu, tukakubaliana kuwa kuwe na Yanga SC na Yanga Cooperation,

“Yanga kampuni ilifishwa na kukawa na utaratibu kuwa kuwe na hisa, Yanga SC kuwe na hisa 51 na wanachama wawe na asilimia 49, na tulizunguka mikoa mingi ili kufuta mgogoro uliokuwepo na kuomba ridhaa ya wanachama wa klabu kukubali hisa,” alisema Akilimali na kuongeza.

“Tulipata mwenyekiti mpaka anatoka timu ilikuwa na Mil. 200, tukampata bwana Nchunga yeye akajiuzulu baada ya miaka miwili, tukamchagua Bwana Manji akaongoza kwa miaka miwili, kwasababu tu ya upenzi ikabidi tuikanyage katika akaongeza muda, ili tujipange na yeye ajipange ili tutafute kuongozi wa baada yake, na tukafikia hatua ya kumchagua kwa mara nyingine,

“Haijafika hata miezi nane imeibuka swala la deni la Bilioni 11 na laki sita, jambo ambalo limetushtusha sana wanayanga, limekuja tamko la mwenyekiti kuleta hoja kuwa akodishwe Yanga na lebo yake kwa muda wa miaka 10, kwasisi wote tunasema Yanga ni kubwa sana, Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria ya kwenda shughulini. Kupitia mimi na wazee wa kamati tumesema hatukubaliani na hilo”

Nae aliyekuwa Mwenyekiti wa Matawi ya Yanga, Mohammed Msumi amesema kutokana na Manji kuwa na mahitaji makubwa na klabu ni vyema akakaa pembeni na kuanzisha timu yake mwenyewe na kuacha Yanga iendeshwe na mfumo ambao umezoeleka.

“Kwanini anataka hili jambo haraka haraka na wakati alisema Yanga inajiendesha kwa hasara, mfanyaniashara gani anakaa sehemu ya aina hiyo, kama hawezi kufata utaratbu anaweza kuanzisha timu nyingine sio kuitaka yanga na kutumia mamlaka kwa mabavu ili tu aipate Yanga,” alisema Msumi.

Chanzo: Dewji Blog
 
Hivi vizee vilikuwa na hiyo timu miaka yote hiyo wameishanyia nini .....zaidi ya kuingiiza kwenye aibu kwa Club kubwa kama hiyo kutokuwa na mfumo wa uendeshaji wa kisasa.
Kwani Manji kaifanyia nini vyura fc zaid ya kununua mechi na marefa kama yeye kiboko mbona KLABU BINGWA anachemsha

cc:Madeama
LAZMA MKUBALI YANGA ISHAKUWA GARI LA MAITI KILA MTU ANAWEZA KODISHA
1476881838249.jpg
 
View attachment 420879

Ambaye anasema Manji hajafanya kitu, ana shida ya kufikiri au penginepo kuona, au penginepo kusikia, na siajabu kuongea.
Manji kuna mambo mengi kayafanya, ila kama wana yanga hatutaki kumkodisha tusimkodishe, tutoe altenative klabu iendelee, ila siyo eti kusema kanunua mech. Toeni solution , akitoka Manji aje nani na kifanyike nini
 
hivi suala la Hassan Kessy Ramadhan ameruhusiwa lini kucheza Yanga?? naona leo anaanza kwenye line up dhidi ya Toto Africa
 
Haaaaaa,, hakuna kijiji kweli kinakosa Wazee ,, Yanga African Kama gari LA kubeba mwili wa Marehemu ,, Ikodishwe ,,?

Nasema hivi ,, Kama John jina lake limo humo Basi narudisha kadi yngu.,,

Mzee wa kijiji alipochimba mkwara huo jina LA John likanyofolewa na kutupwa huko Maisha yakaendelea,, Zamu ya mzee Akilimali sasa HV kurudisha kadi Kama Vyura fc itakodishwa.
 
Wanayanga tusiingie kichwa kichwa yanga ni zaidi ya manji. Yeye ni mwenyekiti Kama anania njema na yanga basi maboresho anayo hubiri ayafanye akiwa kwenye wadhifa huo.
 
Ambaye anasema Manji hajafanya kitu, ana shida ya kufikiri au penginepo kuona, au penginepo kusikia, na siajabu kuongea.
Manji kuna mambo mengi kayafanya, ila kama wana yanga hatutaki kumkodisha tusimkodishe, tutoe altenative klabu iendelee, ila siyo eti kusema kanunua mech. Toeni solution , akitoka Manji aje nani na kifanyike nini
Ni mambo gani aliyoyafanya Manji jangwani ambayo hata akistafu leo mambo ya soka yataendelea kuwasaidia[emoji15] [emoji15]

NASUBIRIA[emoji41]
 
Ili soka la Tanzania likue inawapasa washabiki na wapenzi wa mpira kutafakari namna ya kupata muafaka wa unazi wa Simba na Yanga kwenye vyombo vya maamuzi ya soka nchini. Yanayoendelea Yanga sasa ni kama yameachiwa makusudi. Vyombo vya maamuzi havina meno ya kusimamia kanuni kuimarisha heshima ya soka letu.

ningelikuwa kiongozi wa TFF, kuna watu wangekuwa banned hata kufika viwanjani kutokana na mchango wao wa kudumaza soka letu.

Bila kukubali kubadili mtzamo na mwelekeo tutaliacha soka la Tanzania kwenye tope zito
 
Manji amefanikisha timu kuwa mabingwa wa ligi kuu mara 3 ndani ya miaka mi 4, tumeshinda kombe la FA.
Tumefika robo fainali ya kombe la CAF afrika
Hatujafungwa na Simba kwa miaka miwili sasa.
At least na kipindi cha uongozi wake klabu imetulia hamna fujo fujo.
Manji anaweza kuwa ana matatizo yake ila huwezi sema hajafanya kitu, kafanya ila hajafanya kwa asilimia 100, na haja fanya kile ambacho wewe ulitaka afanye.
 
UNAWAZA BAN TU WEWE !
 
MAPATO YALIKUWAJE?
 
MAPATO YALIKUWAJE?
Sasa hapa tunaingia kwenye mapungufu, au mambo ambayo kama kiongozi kayashindwa, hili la mapato kachemka kabsa. Kwani now klabu ina daiwa tena bila yantaarifa inadaiwa kiaje.
NB:Napinga kauli ya kuwa Manji hajafanya kitu Yanga, sitaki tumuabudu, ila pia sioni haja ya ku dismis kila alicho fanya kuwa ni zero
 
Manji amefanikisha timu kuwa mabingwa wa ligi kuu mara 3 ndani ya miaka mi 4, tumeshinda kombe la FA.
Tumefika robo fainali ya kombe la CAF afrika
Hatujafungwa na Simba kwa miaka miwili sasa.
At least na kipindi cha uongozi wake klabu imetulia hamna fujo fujo.
Manji anaweza kuwa ana matatizo yake ila huwezi sema hajafanya kitu, kafanya ila hajafanya kwa asilimia 100, na haja fanya kile ambacho wewe ulitaka afanye.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] LABDA NIANZE KUKUULIZA

1:KWANI YANGA HAIJAWAHI TWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA MARA 3 NDANI YA MIAKA MINNE?
KAMA IMEWAHI KIPI KIPYA KUTOKA KWA MANJI

2: KWANI YANGA HAIJAWAI FIKA ROBO FAINALI MICHUANO YA AFRICA[emoji15]

KAMA ILISHAWAHI KIPI TUTAKACHOMKUMBUKA MANJI

3: HAUJAFUNGWA NA SIMBA KWA MIAKA MIWILI [emoji23] unamaanisha unajisifia kuifunga Simba mara 2 mfululizo NILIJUA UTAVUNJA REKODI YA MNYAMA YA KUKUFUNGA MIAKA 8 MFULULIZO [emoji23] [emoji23]

KWA HILO NDIO UTAMKUMBUKA MANJI KWA HILO

4: CLUB IMETULIA KIVIP [emoji2] [emoji2] [emoji2] HAKUNA CLUB INAYOKOSA MIGOGORO ILA CLUB NYINGI ZINAMALIZIA MATATZO YAKE CHUMBANI
kama ulimsikiliza CHUJI majuz atakupa sababu kwa nini wakipigwa 5 na SIMBA alifichua kila kitu japo mimi na wewe hatukuvijua

NARUDIA TENA NITAJIE MAMBO ALIYOYAFANYA MANJI AMBAYO ATAENZIWA HATA AKIACHANA NA SOKA[emoji1] [emoji1]

mbona hutaj kile kiwanja chabekar nyingi au mshastuka itakuwa anawapiga cheusi chekundu

NA ENDAPO UKISHINDWA KUTAJA HAPO NDIPO UNATAKIWA UKUBALIANE NA MZEE AKILIMALI KUWA YANGA NI ZAID YA MANJI NA.SIKU ZOTE MFANYABIASHARA NI MTU MJANJA SANA ANAKUWA KIMASLAHI ZAID
 
Ili soka la Tanzania likue inawapasa washabiki na wapenzi wa mpira kutafakari namna ya kupata muafaka wa unazi wa Simba na Yanga kwenye vyombo vya maamuzi ya soka nchini. Yanayoendelea Yanga sasa ni kama yameachiwa makusudi. Vyombo vya maamuzi havina meno ya kusimamia kanuni kuimarisha heshima ya soka letu.

ningelikuwa kiongozi wa TFF, kuna watu wangekuwa banned hata kufika viwanjani kutokana na mchango wao wa kudumaza soka letu.

Bila kukubali kubadili mtzamo na mwelekeo tutaliacha soka la Tanzania kwenye tope zito
Wewe nawe acha kuzingua matatzo yetu PM unashindwa kutatua unakuja huku unapigapiga kelele huu muda si ungetatua japo lile tatzo langu [emoji45]

mtu wa kwanza kula ban ulitakiwa uwe wewe

AMA KWELI NYANI HAONI KUNDULE
 
Back
Top Bottom