connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Unaumia ukiwa wapi?Duuh Baba anatoka mwana anaingia
Anatibu U.T.I na vidonda vya tumbo kwa kutumia maganda ya machungwa kutoka Koogwe na UshotoMakamba ni Dr. wa nini?
Honorary Phd 😅😅Makamba ni Dr. wa nini?
Miache kiwaita watu dr wakati hata masters hawana.Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM
Mwenyekiti CCM na Rais Samia akimpa huyo atakuwa kafanya Kosa kubwa sana na atakuwa ameingia katika 18 zao.Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM
Akimpa huyu ndiyo nitakubali kuwa Kichwani mwake zimetulia na anajua anachokifanya nje ya hapo nitamdharau tu.Labda Kayanza Peter Pinda
Mzee Makamba kapumzika zake. Hana haja ya cheo tena.Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM