safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sawa mkuuTuliza mshono. Chama kina wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuTuliza mshono. Chama kina wenyewe
Wasambaa wana unafiki wa asili, ni tabia yao hio 😂😂😂 tulioishi nao tunawafahamu. Watu wa kung'ata na kupuliza na swala la uchawa ndio kabisaa. Yani yupo radhi akuue kisiasa ili apate sifa kwa mwenye nazo tu.Most useless man ever, huyu Mze ni mnafiki sana na ndiyo huyu aliyesababisha CCM kutaka kumfia Mze Kikwete na akatimuliwa tena kwa kukimbizwa na fimbo asionekane popote pale hapa Tanzania, yule Mze nuksi sana.
Msambaa akikuambia umependeza sana,nenda chemba kajiangalie vizuri huenda umenyewa na kunguru mgongoni.Wasambaa wana unafiki wa asili, ni tabia yao hio 😂😂😂 tulioishi nao tunawafahamu. Watu wa kung'ata na kupuliza na swala la uchawa ndio kabisaa. Yani yupo radhi akuue kisiasa ili apate sifa kwa mwenye nazo tu.
Teknolojia ni nyoko sana aisee!A tough of technology
Nchi ya kifalme hiiKufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Mkuchika kwa sasa ni mgonjwa hana tena uwezo wa purukushani! hawezi kutembea km 5 bila kusimama ajisaidie haja ndogo! Pia ana Sleeping sickness hata ktk kampeni zake lazima awe na matarumbeta kwa Ajili ya kumuamsha asisinzie mkutanoni! la Mwisho ana ROHO MBAYA.Mkuchuika, Chikawe, Makinda
Hawamtakii mema !Mtu amestaafu anarudishwa tena kwenye pirika.
"DR" Yussuf Makamba?Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Yaani kwa umri ule wa mzee Toboatobo umpe umakamu mwenyekiti?Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
acha uzushi makamba hawezi hata kutembea vizuri kwa sasa.Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Nzeze ngosiAnatibu U.T.I na vidonda vya tumbo kwa kutumia maganda ya machungwa kutoka Koogwe na Ushoto
Kwa kweli wana matatizoWasambaa wana unafiki wa asili, ni tabia yao hio 😂😂😂 tulioishi nao tunawafahamu. Watu wa kung'ata na kupuliza na swala la uchawa ndio kabisaa. Yani yupo radhi akuue kisiasa ili apate sifa kwa mwenye nazo tu.
Ilikuwa kete baada ya MangulaLabda Kayanza Peter Pinda