Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

Attachments

  • Screenshot_20240730-221218.png
    Screenshot_20240730-221218.png
    198.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240730-WA0055.jpg
    IMG-20240730-WA0055.jpg
    47.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240730-222234.png
    Screenshot_20240730-222234.png
    73.1 KB · Views: 1
Mama Samia apange Timu yake asiendekeze recycle bin

Nadhani Kwa mawazo yangu aangalie mikoa ambayo haijawahi toa Makamu wa CCM Tanzania au kiongozi makubwa CCM bara ambayo CCM hushinda kwa kishindo


Kwenye uchaguzi atoke kanda ya ziwa au Popote

Ziangaliwe kura zaidi kama CV nadhani Mizengo Pinda aweza faa
 
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.

- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Kinana ameomba kupunzika sababu ya uhenga sasa huyu Mzee Yusuf Makamba si kijana wa zamani mwenziye Kinana? Hawezi kurudishwa tena mtu mzee nafasi hiyo
 
Sio Vizuri na si afya mwenyekiti taifa kuwa muislamu na makamu kuwa muislamu

Nafasi y makamu mwenyekiti apewe Mkristo napendekeza Mizengo Pinda mkatoliki Toka dini kubwa Tanzania
Tunaenda CCM kwenye uchaguzi tuwe makini vyeo vikubwa Hivyo hasa mwenyekiti na makamu Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom