Mzee aliyesema "CCM hii ni ya Wahuni sio aliyoiacha Mwalimu Nyerere" , tunaomba asitekwe

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Rais Samia ana Kofia mbili, kwanza ni Rais wa Nchi ili ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi(CCM). Huwa anaipenda sana CCM kiasi kwamba ukiongea kitu hasi kuhusu chama kilichompa Urais, unawezwa fanywa chochote.

Huyu Mzee anawapa Ushuhuda Vijana waliomuuliza kama CCM hii ya sasa 2025 chini ya rais Shupavu,

Mama, Profesa, Daktari Samia ni sawa na CCM ya Karume na Nyerere? Mzee amekans na kisema CCM ya sasa imejaa wahuni.

Kwa Lugha nyingine hii inamhusu Mwenyekiti wa CCM.

Mzee kaongea ya moyoni. Tunsomba asitekwe wala kupotea wala kitishwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Us
Usiseme tunaomba sema utekaji aukubaliki katika nchi 💯
 
Dah! Huyo Mzee atatafutwa na hao wahuni mpaka wampate na kumpoteza! Hata kama alicho ongea kina ukweli kwa 💯%
 
Hata Polepole alisema kabla hajalambishwa asali
 
Bimkubwa anaweza kupanda kwenye podium na kumjibu hiyo babu na kusema kwamba hataki "Ubabunaizeshen" na kwamba afukuzwe kwenye chama halafu ashughulikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…