Mzee anayedai kuwa Baba wa Nandy Aibuka

Mzee anayedai kuwa Baba wa Nandy Aibuka

Kingo Janta

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
319
Reaction score
262
"Mimi na Mama yake Nandy hatukuwa na tatizo lolote isipokuwa dada yake alimuonea wivu wakati nipo na yule mama. Akamtorosha/kumpoteza kama mfanyakazi akampeleka sehemu ambayo sijui".

"Nachotamani kumwambia Nandy ni kitu kimoja, kama ametambua kuna Charles Mfinanga zaidi ya mimi awe huru nampa baraka zote lakini ajue ni damu yangu".

"Akinitambua anitambue au akinikataa anikatae ila aelewe Nandy ni mtoto wangu kwa sababu mama yake aliondoka na ujauzito". - Mzee anayedai kuwa baba mzazi wa msanii @officialnandy Charles Godfrey Mfinanga

#EastAfricaRadio

FB_IMG_1658259706391.jpg
 
Back
Top Bottom