Mzee anayedai kuwa Baba wa Nandy Aibuka

Duniani kweli Wawili wawili,Sema amefanana na Mwanae.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mahari yenyewe ukute ni mwanamke kajioa.

Ataambulia tu chochote, Nandi hakujizaa mwenyewe
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€Huku Wanatiana Aibu
 
Wafinanga nao ni double dealers siku hizi

Nashauri akathibitishe kwenye dna na ikibainika siyo awekwe anakostahili
 
Kina mama wanafanya mistake nyingi sana! Wewe unae shupaza shingo kumcheka huyu mzee usikute watoto wote hapo nyumbani sio wako ni wa kijana wa boda boda!
Ingawa na sisi tuna mistake zetu pale tunapokataa ujauzito au kukataa matunzo, fasta tu anaegeshewa bakuli mwengine na kupewa zawadi [emoji16][emoji16] hii imetokea hapa juzi.
 
Siku zoote hajatokea mpk siku za harusi njaa mbaya sana,Sasa yule mwenye miwani ni nani wake nandy.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh bongo noma
 
Huyu mzee angesema yeye ni baba yake Bilnas ndio ingekuwa inafanana na ukweli au mnasemaje ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…