Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Sep 10, 2020 #1 Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
famicho JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,191 Reaction score 2,857 Sep 10, 2020 #2 Safi kabisa, siku ya kupita niliko huku kama itakuwa siku ya shule, watoto wangu watabaki tu nyumbani
Safi kabisa, siku ya kupita niliko huku kama itakuwa siku ya shule, watoto wangu watabaki tu nyumbani