Mzee Augustine Mahiga ndiye alikuwa "role model" wangu. Roho inaniuma sana sikuweza kuhudhuria msiba wake. Siku moja ninatamani kuja kuwa kama yeye

Mzee Augustine Mahiga ndiye alikuwa "role model" wangu. Roho inaniuma sana sikuweza kuhudhuria msiba wake. Siku moja ninatamani kuja kuwa kama yeye

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

View attachment 1582890

Ndugu zangu watanzania;

Kama kuna matukio yaliouchoma moyo wangu ndani ya mwaka huu wa 2020 basi ni kifo cha huyu mzee Augustine Philip Mahiga. Huyu baba sikubahatika kuonana naye ana kwa ana lakini ndiye aliyekuwa "role model" wangu katika kupenda masuala ya kidiplomasia na siasa za kimataifa.

View attachment 1582891

Siku moja ninatamani kuja kuwa mwanadiplomasia makini na mwanasiasa mstaarabu kama yeye. The guy was sincerely humble and kind, mwanasiasa muungwana na mstraarabu kweli kweli.

Roho inaniuma sana sikuweza kuhudhuria msiba pamoja na mazishi yake kutokana na changamoto ninazozipitia sasa katika maisha yangu lakini ipo siku nikienda Iringa nitapita katika kaburini lake walau nisimame dakika tano niangalie pahala alipolala huyu shujaa wangu.

View attachment 1582892

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO NA UIPENDE TANZANIA KAMA MZEE AUGUSTINE MAHIGA.
Nami pia alikuwa shujaa kwangu na nilimwelewa
 
Find your own path...
Indeed every one should have his own surviving technique that derived by himself and this is the key to success.
When you follow someone's path you can not be able to resolve issues once things collapse before destination.
 
Mungu amemuumba kila mtu unique....na kila mtu kapewa talanta yake....ku follow somebody path is like to forge/ forgery.....
huyo jamaa hatakiwi kuiga mtu afanye mambo yake huku akiomba Mungu.....atafika mbali on his own way....
ila hawezi kunielewa
 
Hiyo kitu ndio inawachelewesha vijana.
Utakuta anakufuata anakwambia brother naomba unipe siri ya wewe kutusua na mimi nifanye nitusue au anakwambia nionyeshe unapopatia pesa na mimi nikapate.
Kumbe hajui hiyo sehemu unapopatia pesa ulifanya creativity miaka 15 iliyopita ndio sasa hivi inaanza kutema pesa.
 
Back
Top Bottom