Mzee Augustine Mahiga ndiye alikuwa "role model" wangu. Roho inaniuma sana sikuweza kuhudhuria msiba wake. Siku moja ninatamani kuja kuwa kama yeye

Kufanya alicho kuwa Ana fanya unaweza ila kufanya kama alivyo fanya huto weza keep up dunia na Tanzania inahitaji watu wapole na Wenye busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…