Ni yupi kati ya hao wawili?
Je alikuwa anaishi wapi?
Msipende kusifia merehemu,sifia mtu akiwa hai!
Utaona asaivi Mtu kama TUNDU LISSU ni mwanasheria anayesaidia sana utumgwaji wa sheria bungeni na kukosekana kwake mmeona Masheria ya Kodi na Miamala ya simu benki,mara sjui ya ubakaji wanafunzi hayaeleweki,angekuwepo bungeni je?
Sasa mnasubiri akienda zake Mbinguni ndo watu ooh,tuache siasa ,sijui u ccm huyu jamaa alikuwa hazina,alisaidia sana,oooh spika analia kumbe u afiki tu,Tambua na mpe mtu credit zake akiwa hai.