TANZIA Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia

safi sana!!Ila hawa waandishi wetu hawa yaani sijui habari zao wanatoaga wapi!!eti lilibuniwa na aside na elimu!!
hats kauchunguzi kadogo walishindwa!!
 
daah ukipaona kwa sasa huwezi amini..majengo yamechakaa..kulikuwa na kumbi mbili wa chini na ule wa ghorofani..madansa wa wakati huo Masasi walikuwa akina Kalamula..huku mziki ukipigwa na Jirani Records.
Hahahaha umenikumbusha hao madansa.
Imekuaje sasa majengo kuchakaa wakati hotel ilikuwa ya kiwango kizuri sana ikipambana na Sayari ya pale Jida? Au uongozi ulishindwa kuendesha?
 
Kwa nini tukisie? JF Ina wajuzi wengi, tuache watiririke.
 

Nilikuwa namfahamu huyu Mzee...alikuwa mcheshi sana..poleni wafiwa wote..
 
R I P

Hakuwa na makuu baba wa watu
 
Hahahaha umenikumbusha hao madansa.
Imekuaje sasa majengo kuchakaa wakati hotel ilikuwa ya kiwango kizuri sana ikipambana na Sayari ya pale Jida? Au uongozi ulishindwa kuendesha?
Mkuu hakuna kitu..Sayari yamebaki majengo tu..Masasi hotel wanafanya ukarabati lakini kwa viwango vya sasa ni kama hamna kitu..hapo karibu yake kuna ghorofa la kisasa linaendelea kujengwa.
 
... Uwe Una proofread post zako maana inakuwa ngumu kueleweka
 
Mkuu hakuna kitu..Sayari yamebaki majengo tu..Masasi hotel wanafanya ukarabati lakini kwa viwango vya sasa ni kama hamna kitu..hapo karibu yake kuna ghorofa la kisasa linaendelea kujengwa.
Basi mambo yanabadilika sana. Masasi Hotel na Sayari ndizo zilitegemewa miaka ile ya 90 ila kila kitu na mwanzo na mwisho wake.
 
Tanzania pumbavu sana, wengine wengi twajua jengo Hili lilisadifiwa na Wazungu.
Nyambafu
Tumerogwa mkuu. Jaribu kumsifia mzawa tu, utaandamwa na kuitwa MBAGUZI wakati hao wanaotetewa sio kwao tu ubaguzi umetamalaki ila hata kodi hapa wanakwepa kuilipa!
 
Kampuni ya usanifu wa majengo ya BJ Amuli yaandika historia nyingine kwa kusanifu ghorofa refu la makao makuu ya Posta Afrika PAPU lililopo Arusha Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=DK32S-pjt3E
Kampuni hiyo ilianzishwa mwaka 1969 na imesanifu majengo kadhaa tajwa nchini Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…