Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sina boss.!
!
Unayo Linki Yake Mkuu Unisaidie. Nadhani Nahitaji Kuusoma Upya.
Siku ukiniona nimekesha humu jua sko kibaruani mkuu..napumzika...ukiniona sikonjua nahangaika na maish yangu..mimi siasa ni passion!
Hapana, sikumaanisha kuwa usishinde JF au kuwa online. Hayo ni mambo binafsi na ntakua mtovu wa nidham kukupangia nini cja kufanya.
Nilichokutahadharisha ni kuhusu mambo sojui ya mchuchuma, kiwira, epa, escrow..hayo unaweza kuota mvi siku si zako.
Aisee, kumbe Nanyumbu iko Lindiukitaka huyu mzee akuchape makofi mkumbushe tu kuwa kwao ni Lindi.
Hana hamu, wala shobo tena na hizi bethidei za hawa wazee! hahahhahaahaHhaahaha nakwede ww 🤣🤣🤣🤣
Kusini hukoAisee, kumbe Nanyumbu iko Lindi
Hana hamu, wala shobo tena na hizi bethidei za hawa wazee! hahahhahaaha
Hahahahah daah mi namuonea huruma yule dogoHana hamu, wala shobo tena na hizi bethidei za hawa wazee! hahahhahaaha
Hivi bado ana report police, Na Kigwangwala naye alikuwa ameyaingilia hivi alifanikiwa?Gavana alimnyooosha haaahha!maisha haya
My life my purpose[emoji848]
Najua bas shmu??ndo title ya kitabu chake...yaan mie nisisome vitabu vingine nisome kitabu chake?mayb!Nitafasirie shemu
Pure illiterate mindset!Na mara nyingi watu wanaoandika vitabu hua wanaelekea kukata moto.Ref to Sir Andy Chandy,Mengi etc
Just my observation.
Kwa hili alaniwe
Sijui kwanini mijitu ya roho mbaya haifi mapema
Najua bas shmu??ndo title ya kitabu chake...yaan mie nisisome vitabu vingine nisome kitabu chake?mayb!
Haifagi.amejitetea hapa anasrma alionewa sana...