Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.

Soma pia:
=> Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na kupotezwa?
=> Kwanini tatizo la Watu kutekwa lipo nchi za Kidemokrasia Tanzania na Kenya ila nchi za wanajeshi Uganda, Burundi na Rwanda halipo?
=> Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?
=> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
 
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
 
Soma pia: => Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na kupotezwa?
=> Kwanini tatizo la Watu kutekwa lipo nchi za Kidemokrasia Tanzania na Kenya ila nchi za wanajeshi Uganda, Burundi na Rwanda halipo?
=> Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?
=> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
Ni kiburi na dharau. Kwanini.mta fanya nini?
Halafu bila aibu ati aana sema mwenye taarifa sahihi awapeleke. Kwani kazi yao ni nini?
Wasema kazi ime washinda tuombe sisi
 
GDIS,IGP ,Masauni,Muliro inatakiwa waondolewe hao! Haiwezekani wanaacha WAHUNI wanaichafua nchi kimataifa ,haiwezekani kuwaacha wahuni wanaleta taharuki nchini ,haiwezekani waache wahuni wafanye wanavyotaka as if hatuna jeshi la polisi.

Navyojua mimi kiytendo cha wale wahuni kuondoka hapo tegeta na mateka nin imani kama tungekuwa na jeshi imara ndani ya dakika 20 watekaji wangekuwa washakamatwa ,wasingeweza kutoka.
 
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
elimu yako kama ina masali bas umri hauna nguvu , utatumiwa mpk tujiridhishe huez tena , ila huez acha kwenye cheo hukitendei haki
 
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
Utakuwa unagongwa kotekote ...unagongwa kwa hoja Mzee anaongea mambo ya Msingi wee unatuletea UROJO wako hapa
 
Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.
Soma pia:
=> Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na kupotezwa?
=> Kwanini tatizo la Watu kutekwa lipo nchi za Kidemokrasia Tanzania na Kenya ila nchi za wanajeshi Uganda, Burundi na Rwanda halipo?
=> Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?
=> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
Mleta mada nje ya mada. Hivi huyu IGP Camilius Wambura ana undugu na marehemu Bernard Camilius Membe? Kwasababu jina lake la Kwanza Camilius linafanana na jina la pili au la kati la kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu.
 
mnyika alisema katekwa na idara ya usalama ambayo haiko chini ya wambura ajiuzuli kivipi?
 
Benard Camillius Membe, na Camillius Wambura ni watu tofauti kabisa, Membe wa kusini mkoa wa Lindi, Wambura kanda maalum Mkurya wa Tarime

Back
Top Bottom