Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu

Ni kiburi na dharau. Kwanini.mta fanya nini?
Halafu bila aibu ati aana sema mwenye taarifa sahihi awapeleke. Kwani kazi yao ni nini?
Wasema kazi ime washinda tuombe sisi
GDIS,IGP ,Masauni,Muliro inatakiwa waondolewe hao! Haiwezekani wanaacha WAHUNI wanaichafua nchi kimataifa ,haiwezekani kuwaacha wahuni wanaleta taharuki nchini ,haiwezekani waache wahuni wafanye wanavyotaka as if hatuna jeshi la polisi.
Navyojua mimi kiytendo cha wale wahuni kuondoka hapo tegeta na mateka nin imani kama tungekuwa na jeshi imara ndani ya dakika 20 watekaji wangekuwa washakamatwa ,wasingeweza kutoka.
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
Mzee Butiku,anafurahisha sana,anaanza kuwaambia wengine wajiuzulu,yey more than 70 lakini bado tu yuko Taasisi ya Mwalimu Nyerere mpaka imepungua umaarufu
Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.
Mleta mada nje ya mada. Hivi huyu IGP Camilius Wambura ana undugu na marehemu Bernard Camilius Membe? Kwasababu jina lake la Kwanza Camilius linafanana na jina la pili au la kati la kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu.