Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.

Your browser is not able to display this video.
 
Wazee wanaogopa Waandishi wa habari.

Kazi kweli kweli.
 
Nchi ya kusadikika !! tumefika kuingizana gizani , nini hasa wanataka kuficha!!! Ni FUTUHI!!
 
Wakiitwa waandishi wa habari atasema wazee wengi wametaka chadema ifute
Samia akupigiwa kura hata na waislamu wenzie na wanawake wenzie walimpuuza ...kitendo kilicho onyesha kuwa hadi mashekh wamepuuzwa na wananchi baada ya wananchi kugundua kuwa mashekh wote asilimia 98% ni wapumbavu na wapuuzi hivyo wakawapuuza wasiwasikilize kuhusu kupiga kura ....nawapongeza waislamu wa kawaida kwa kuliona hili na kuchukua hatua sahihi ya kumkataa kahaba na wahuni wenzie kina Rostam
 
Mashehe wa Bakwata wote ni chawa wa Samuya wanachojua ni kugombea vijinyama toka Makkah
 
kitumbua kimeingia mchanga
 
Kila ukweli unaosemwa kwenye huo mkutano ni ukweli usiopendeza viongozi majizi waliojipachika madarakani. Hivyo watakuwa wamepewa maagizo toka juu waache uchochezi.
 
Yaani watu wameuwawa wao wanaleta ngonjera
Sijui maridhiano
Huyu Mzee kumbe mpuuzi hivi
 
Hii Mbugi ngumu sana, Sasa tutakaaje kwenye maridhiano kama Taifa
 
M Panazidi kuchangamka
 
Tayari unaona dhamira ya hicho kikao. Wameitana kwa vigezo vizisivyoeleweka, wakatueleza sababu za kukutana hadharani, then majadiloano wqnaficha! Hayo maazimio watakuwa wanayo tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…