Uchaguzi 2020 Mzee Butiku: Hamchagui Rais ili mumuogope

Uchaguzi 2020 Mzee Butiku: Hamchagui Rais ili mumuogope

Kumbuka siasa zilipigwa spaan kwa miaka minne na nusu. Kule Chadema mzee alikua haamini kama Kuna ka maji uhuru la kuongea. Amefika ACT alijia sasa niko huru kuongea.
Sijaelewa yani Chadema ndio walipiga spana, au uhuru hakupewa Chadema na alianza kujiona yuko huru ACT?!
Fafanua nikuelewe tahadhari.
 
Kama unamchagua Rais ili umuogope, USIMCHAGUE- Mzee Butiku
Nimesikiliza speech ya mzee kwa umakini mkubwa sana. Ujumbe wa mzee ni kuwa vyombo vya dola na tume wawaache watanzania wamchague kiongozi wanayemtaka. Mzee kasisitiza hatuchagui kiongozi ili tumuogope. Maneno ya mzee yamenipa faraja sana.

Finally ninachoweza kusema ni kuwa wazee makini wa Taifa hili wako tayari kuona mabadiriko chanya kwenye taifa hili.
Kwa Mpinzani anayejijua ana nguvu hasa Tundu Lissu naomba sasa ajipange na ajiandae kweli kuwa Raisi wa Nchi hii. Sasa inabidi approve kwa watanzania kuwa Mungu alimponya risasi zote zile 38 kwenye gari yake na 16 kwenye mwili wake ili aje kuwa kiongozi mkuu wa hii nchi.

Chadema - sikilizeni maneno ya mzee Butiku vizuri na jiandaeni kuwa Chama Tawala.
 
Sijaelewa yani Chadema ndio walipiga spana, au uhuru hakupewa Chadema na alianza kujiona yuko huru ACT?!
Fafanua nikuelewe tahadhari.
Hapana kadiri siku zinavyokwenda watu wanaanza kurelax. Kumbuka Lema alikaa jela kwa kuota ndoto.
 
Back
Top Bottom