Sijaelewa yani Chadema ndio walipiga spana, au uhuru hakupewa Chadema na alianza kujiona yuko huru ACT?!Kumbuka siasa zilipigwa spaan kwa miaka minne na nusu. Kule Chadema mzee alikua haamini kama Kuna ka maji uhuru la kuongea. Amefika ACT alijia sasa niko huru kuongea.
Nimesikiliza speech ya mzee kwa umakini mkubwa sana. Ujumbe wa mzee ni kuwa vyombo vya dola na tume wawaache watanzania wamchague kiongozi wanayemtaka. Mzee kasisitiza hatuchagui kiongozi ili tumuogope. Maneno ya mzee yamenipa faraja sana.Kama unamchagua Rais ili umuogope, USIMCHAGUE- Mzee Butiku
Endelea kukariri bwashee!Umepigwa spana vibaya inabidi utafute kaneno kakuokoteza
Hapana kadiri siku zinavyokwenda watu wanaanza kurelax. Kumbuka Lema alikaa jela kwa kuota ndoto.Sijaelewa yani Chadema ndio walipiga spana, au uhuru hakupewa Chadema na alianza kujiona yuko huru ACT?!
Fafanua nikuelewe tahadhari.