Mzee Butiku kimekupata nini? Au tayari umelamba asali

Mzee Butiku kimekupata nini? Au tayari umelamba asali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.

Nyote semeni AMEN.
 
Acheni mzee wa watu ale pesa ya mwisho mwisho kuelekea kupumzika kwake, unataka aendelee kuwapambania Hawa watanzania wasiojitambua mpaka lini? Yeye mwenyewe amechoka ameona yanini afe roho juu juu wakati ana access ya kupiga pesa kilain
 
Na hii ndio maana halisi ya press, Kubadili unavyofikiri kwa kupotosha na kuongeza tension au kukuweka kwenye njia sahihi
Tajiri Mzee chamani kwa sas
 
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.

Nyote semeni AMEN.
Taken hostage..?.🥺🤔
 
Back
Top Bottom