Mzee Butiku kwa upenda haki unaojaribu kuonyesha huyu mzee anaweza kuteseka hivi ukiwepo?

Kumbe ndoa mseto zilianza tangu zamani baba wa Nassoro aliitwa Francis Petro na mama yake aliitwa Hadija Hassan, sasa huu uadui unaotamalaki hivi sasa ati huwezi olewa na yule ni kafri unatoka wapi
 
Kumbe ndoa mseto zilianza tangu zamani baba wa Nassoro aliitwa Francis Petro na mama yake aliitwa Hadija Hassan, sasa huu uadui unaotamalaki hivi sasa ati huwezi olewa na yule ni kafri unatoka wapi
Mashekhe ubwabwa ndio wameleta hio shehena eti hawataki kulishwa Nguruwe,
 
Lakini wakati wa mwezi mtukufu ukweli hujitenga na uongo, vitoweo hudhihirisha hayo
Ndio hivyo bucha za kitimoto hua zinakata kabisa nyama zinaenda wapi?
 
jukumu la kutunza wazee ni la Serikali, wameitumikia nchi hivyo wanapaswa kutunzwa na serikali …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…