Mzee Butiku ulishauri walikudharau na Wakakupuuza, Leo Capt Tesha kajitoa Muhanga, usitukatishe tamaa, ni heri ukakaa kimya, Watanzania watakudharau

Mzee Butiku ulishauri walikudharau na Wakakupuuza, Leo Capt Tesha kajitoa Muhanga, usitukatishe tamaa, ni heri ukakaa kimya, Watanzania watakudharau

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mzee bila shaka ulitumia muda mwingi sana kwenye Vyombo vya habari kuhubiri MABADILIKO MABADILIKO .

Ulipuuzwa, na wakakuambia Mzee umeshastaafu, kama kwa kutulia.

Mzee Butiku kama ni mema ya Nchi hiii umeyala ya kutosha Hadi Sasa unzeeka

Sina uhakika kama unaweza kua na miaka 10 ya kuendelea kua Hai Kwa kuzingatia Umri wako, ila Tanzania itaendelea kuwepo na Vijana tutendelea Kuishi.

Leo hii Vijana tunapambania Kesho yetu..

Kesho ambayo tutakua na viongozi tuliowachagua wenyewe.

Tutakua huru KUKOSOA Serikali pale inapokosea

Kesho ambayo Uhai utabaki kua ni Zawadi tulopewa na Mungu

Kesho ambayo Utekaji na Mauaji ya Kisiasa vitabaki ni Historia

Kesho ambayo Rasimali za Nchi zinatumika kuwaendeleza Watanzania Kwa usawa

Kesho ambayo Haki italindwa na KATIBA MPYA .

Kesho ambayo Vyama vya SIASA vitafanya Siasa zao bila kuumizwa.

Kesho ambayo Serikali haitaongozwa na Wahuni .

Kama wewe ulionya na ukapuuzwa, acha kukatisha TAMAA wenye Uwezo wa kuonya na kuchukua hatua.

Tarehe 29/10 tutaandamana , na Wazalendo wa kweli wameapa kutulinda , yoyote atakyegeuza Risasi dhidi ya Raia, Wazalendo Hawa pia watamgeuzia Risasi .
 
Huyu mzee ni mnafiki, anajisafisha ili aonekane hakumtuma kapteni Tesha, maana alitajwa kwa jina kwenye hotuba ya kampeni Tesha
 
Tarehe 29/10 tutaandamana , na Wazalendo wa kweli wameapa kutulinda , yoyote atakyegeuza Risasi dhidi ya Raia, Wazalendo Hawa pia watamgeuzia Risasi
Mstari huu unatosha kumfikishia ujumbe muhimu mzee Butiku.
WaTanzania hawahitaji la ziada toka kwake zaidi ya kunyamaza.
 
Huyu mzee ni mnafiki, anajisafisha ili aonekane hakumtuma kapteni Tesha, maana alitajwa kwa jina kwenye hotuba ya kampeni Tesha
Mzee Butiku hakuwa na sababu hata moja ya kujitokeza na kusema aliyo sema; hata kama alitajwa.
Lakini hii siyo mara ya kwanza kwa huyu mzee kuonekana kuwa kigeugeu.
 
Tarehe 29/10 tutaandamana , na Wazalendo wa kweli wameapa kutulinda , yoyote atakyegeuza Risasi dhidi ya Raia, Wazalendo Hawa pia watamgeuzia Risasi .
Hapa nimepapenda sana

Nakala kwa Jumanne Morilo imfikie huko alipo Captain Tisha amesema akipigwa raia risasi kitaeleweka
 
Mzee Butiku na Mzee Wassira ni wazee wa Ovyo sana kwenye hii nchi.
 
Mzee tumbo joto mana kijana tesha kamtaja anahaha.tulia mzee naona umezeeka ubongo wako umechoka
 
Back
Top Bottom