Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa

Hawa wazee wanapoteza muda wao kwa kuongea mbele ya kamera, wakiogopa hizi sauti za wanaharakati. Watanzania ni wapigo domo tu.

Kila kitu kizuri wao wanaanza kwa kukipinga kwanza na baadae wanakuwa wafaidikaji wakubwa.

Mwendo kasi waliupinga sana ulipokuwa unajengwa leo hii wanaamka asubuhi kuutumia kwa safari za Dar.

SGR waliipinga leo hii inakaribia kumalizika na watafaidika wao na jamaa zao.

DPW anapingwa leo lakini kuna siku hawa hawa wapingaji watakuwa kimyaa kabisa wakifaidika na wepesi wa ufanyaji kazi wa bandari yetu.
 
Yaani Karne 21 MKATABA unampa Wasira akatete?kitila?MKATABA lazima ujitete wenyewe
 
Mshenzi nani?
Unakusudia Raisi?
au waziri Mkuu?
au waziri wa Miundo mbinu naUchukuzi?
Yaani Unaita Serikali inayosimamia Mambo makuu ya nchi Washenzi?
Hii n Dharau ya Hali ya Juu na Ujinga .
Sijapata kuona Raia wa aina yako.
Yoyote yule aliyeshiriki kuanzia maandalizi ya mkataba huu mpaka ukaridhiwa na kupitishwa ni mshenzi...
Mkuu Retired nimeshajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…