Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, ameeleza sababu za yeye kuweka wazi umri wake, akibainisha kuwa kufanya hivyo kunawasaidia watu kumwelewa na kumsamehe pale anapotoa kauli zenye mtazamo wa kizee badala ya ujana wa siku hizi.
Ameongeza kuwa umri mkubwa humpa nafasi na mamlaka ya kizalendo na kiutu ya kuwakanya au kuwagombeza vijana kama babu anavyofanya kwa mjukuu wake.
"Huwa nanataja umri wangu kwa sababu moja kubwa. Ukitaja umri, watu wakijua umri wako, wanakusamehe kwa yale unayosema yanafanana ya kizee, haya fanani ya vijana wa siku hizi."- Amesema Mzee Butiku