Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
saa 10 jioni hadi saa moja.
Mzee chapuo ni mchekeshaji wa sikunyingi wa KBC Nairobi... Enzi hizo miaka ya 90's walikua na kipindi chao kinaitwa Janja na janjaule...
mita bendi ngapi times fm?
ipo online piaduh.! Mi nipo makalioni mwa nchi hiyo redio haifiki tunaisikia tu kwenye magazeti..hicho kipindi ni saa ngapi na siku gani siku nikitembelea dar nimsikilize.!
idawa usiwe mvivu, 100.5 Times FM inapatikana ulimwenguni kote kupitia Internet. Just Google It utaisikiliza. Ule mchezo wa kizamani eti mie niko mbali radio au TV haisiki siku hizi haupo unless kama umejitenga na teknolojia piaduh.! Mi nipo makalioni mwa nchi hiyo redio haifiki tunaisikia tu kwenye magazeti..hicho kipindi ni saa ngapi na siku gani siku nikitembelea dar nimsikilize.!
duh.! Mi nipo makalioni mwa nchi hiyo redio haifiki tunaisikia tu kwenye magazeti..hicho kipindi ni saa ngapi na siku gani siku nikitembelea dar nimsikilize.!