Mzee Chapuo wa 'Maskani ya Kapten G Habash'

Mzee Chapuo wa 'Maskani ya Kapten G Habash'

Mzee chapuo ni mchekeshaji wa sikunyingi wa KBC Nairobi... Enzi hizo miaka ya 90's walikua na kipindi chao kinaitwa Janja na janjaule...

ohoo! Nakumbuka wakati niko Moshi nilikuwa nilikuwa nakisikiliza hicho kipindi kbc. Kweli kama ni huyo basi ako juu. Ila si atakuwa mzee sana?
 
duh.! Mi nipo makalioni mwa nchi hiyo redio haifiki tunaisikia tu kwenye magazeti..hicho kipindi ni saa ngapi na siku gani siku nikitembelea dar nimsikilize.!
idawa usiwe mvivu, 100.5 Times FM inapatikana ulimwenguni kote kupitia Internet. Just Google It utaisikiliza. Ule mchezo wa kizamani eti mie niko mbali radio au TV haisiki siku hizi haupo unless kama umejitenga na teknolojia pia
 
Last edited by a moderator:
duh.! Mi nipo makalioni mwa nchi hiyo redio haifiki tunaisikia tu kwenye magazeti..hicho kipindi ni saa ngapi na siku gani siku nikitembelea dar nimsikilize.!

Mkuu wapo on line www timesfm.com
 
Back
Top Bottom