johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama chake Cha UDP
Cheyo atoe kwanza boriti Kwenye jicho lake ndipo akione kibanzi Kwenye jicho la Lucas 😂🔥
=================
Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha UDP, Mzee John Momose Cheyo, amesema kuelekea mwaka 2050 lazima Nchi ibadilishe mfumo wake wa kuwapata Viongozi hasa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, akikemea vikali kujipendekeza na kusifiasifia Viongozi (Uchawa) kuwa sifa ya Mtu kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali Serikalini.
Cheyo amesema hayo leo August 21, 2024 Jijini Dar es salaam wakati Baraza la Vyama vya Siasa lilipokutana kutoa maoni yao kuhusu dira ya maendeleo ya Taifa 2050 katika mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.
Soma Pia: Amos Makalla ahalalisha "Uchawa", asema ni utamaduni wa kibinadamu wa kushukuru
Ahsanteni Sana