Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Siasa za Tanzania zinatia stress sana , kauli ya rais samia haikumpasa kuitoa kwa mtu kama yeye ambaye amekaa kwenye mchakato wa katiba mpya mwanzo mwisho anajua kipengele kilicho kwamisha, na anajua wapi palipaswa kuanzia na wala sio kuanza moja au kutoa elimu ambayo matumani kabisa wanaposwa kupata elimu hio hawatafika hata asilimia 10