Mzee Cheyo: Uchaguzi wa sasa ni mnada, kama huna pesa hupati

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938

Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa.

Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye siasa wakiwa na sera ya kupata pesa, ameendelea kusema kuwa kwenye siasa hakuna pesa, na wale tunaowaona wana pesa ni wezi tu.

Amesema vijana waendelee na moyo wa kusaidia na kushiriki katika kuhakikisha kwamba wanatengeneza mtindo wa uchaguzi ambao ni mzuri. Bila kuwa na utaratibu ulio mzuri, uchaguzi sasa hivi ni mnada, usipokuwa na hela hupati.
 
View attachment 2931216

Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa. Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika basi waende kwenye siasa wakiwa na sera ya kupata pesa, ameendelea kusema kuwa kwenye siasa hakuna pesa. Na wale tunaowaona wana pesa ni wezi tu.
Kama kwenye siasa hakuna pesa mbona yeye hataki kuachia?
 
Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa.

Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye siasa wakiwa na sera ya kupata pesa, ameendelea kusema kuwa kwenye siasa hakuna pesa, na wale tunaowaona wana pesa ni wezi tu.

Amesema vijana waendelee na moyo wa kusaidia na kushiriki katika kuhakikisha kwamba wanatengeneza mtindo wa uchaguzi ambao ni mzuri. Bila kuwa na utaratibu ulio mzuri, uchaguzi sasa hivi ni mnada, usipokuwa na hela hupati.
that's nature,
elections is expensive 🐒

hata uwe na sheria ya namna gani au hata pasiwepo na sheria huwezi kwepa gharama ghali mno za uchaguzi 🐒

haiwezekani hayo mengine ni katika kupiga stori na kujifariji tu laki gharama iko pale pale 🐒
 
Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa.

Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye siasa wakiwa na sera ya kupata pesa, ameendelea kusema kuwa kwenye siasa hakuna pesa, na wale tunaowaona wana pesa ni wezi tu.

Amesema vijana waendelee na moyo wa kusaidia na kushiriki katika kuhakikisha kwamba wanatengeneza mtindo wa uchaguzi ambao ni mzuri. Bila kuwa na utaratibu ulio mzuri, uchaguzi sasa hivi ni mnada, usipokuwa na hela hupati.
Duh 🙄 !
Amesema wenye hela kwenye siasa ni nani ???!! 🙄😱

😅😅🙏🙏
 
Wanasiasa wa Africa wanaongoza kwa Madeni ndio sababu hawatakubali kustaafu
Ni kwa sababu wanajipangia mishahara na marupurupu makubwa !
Wanasahau kuwa the bigger your income the bigger your problems !!
Watu wanakwendaga kuomba misaada kwa watu wanaojua wanalipwa pesa nyingi kutokana na kura zao walizowapa Uchaguzini !!
So they want kick backs from waheshimiwa 😅😅🙏🙏
Matokeo yake pesa zinakuwa hazitoshi kila siku !
Inabidi watu tuingie kwenye mikopo 😅🙏🙏 !
 
Maneno mazito kwa chama kongwe dola CCM :

John Cheyo - "Wanaopata pesa (utajiri) wakiwa katika siasa ni wezi tu"
 
Back
Top Bottom