Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenWAZEE wanapenda uzee mzuri, wakitengeneza na Mungu.
Tupate KATIBA mpya Ili tuondokane na Utumwa Kutoka MKOLONI mweusi.
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.
Ameeeeen.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Looo Mzee Msuya naye he got his voice back, kweli tulikuwa tunapita kipindi cha giza, ushetani, ukatili etcetera
Udini hautakusaidia kitu , nenda kajiunge na Mwaikali huko Mbeya .Katiba ya KKKT imeshindwa kutafsirika Mbeya!
Tusisahau na hilo
Hawa hawa ndo walikua wakisema nchi haina umuhimu wa katiba mpya zaidi ya madaraja na midege. Kwao material thing ilikua hitaji kuu la maisha kuliko vitu vya msingi kama katiba!!WAZEE wanapenda uzee mzuri, wakitengeneza na Mungu.
Tupate KATIBA mpya Ili tuondokane na Utumwa Kutoka MKOLONI mweusi.
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.
Ameeeeen.
Tunazungumzia KatibaUdini hautakusaidia kitu , nenda kajiunge na Mwaikali huko Mbeya .
Huyu ni mjinga sana!Udini hautakusaidia kitu , nenda kajiunge na Mwaikali huko Mbeya .
Katiba ya KKKT inatuhusu nini ?Tunazungumzia Katiba
Katiba ya KKKT imeshindwa kutafsirika Mbeya!
Tusisahau na hilo
Akitubu husamehewa. Apumzike Kwa amani Mzee.Hawa hawa ndo walikua wakisema nchi haina umuhimu wa katiba mpya zaidi ya madaraja na midege. Kwao material thing ilikua hitaji kuu la maisha kuliko vitu vya msingi kama katiba!!
Kwakua leo ni Samia wamebadili kauli... hii nchi itapona pale kizazi chote cha kijamaa kikipotea maana ujamaa uliwafanya watu wawe wanafiki, uliwafanya watu wawe mithili ya minyoo maana minyoo huwa yamwisho kufa so walijiona wanastahili uhai kuliko wengine mbele ya yule kichaa.
Inamsaidia CleopaKatiba ya KKKT inatuhusu nini ?
Ukiona haitafsiriki jua Pana mkono wa SIRIKALI.Katiba ya KKKT imeshindwa kutafsirika Mbeya!
Tusisahau na hilo
Siku zote nasemaga ujamaa ni ushetani, wajamaa hawajali shida za wengine midhali wao wanashiba. Wajamaa hawaogopi madhila yawapatayo wengine kwakua wao ni salama. Ni minyoo ambayo hukaa tumboni mwa mwenye njaa ikifaidi utumbo... haijali maana yenyewe huwa yamwisho kufa...Mwenyekiti wa Ccm amefungua akili zao.
..kabla Ccm haijawaruhusu walikuwa kimya.
vizuri sanaUjumbe: Kama hawa Wazee wamechoshwa na danadana hizi za akina Pinda na Mukandala, WEWE NI NANI HATA UPINGE KATIBA MPYA?