Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
mkuu wamekulisha matango pori, viwanda ulikuwa mpango wa waziri wa viwanda wa wakati ule alnoor kassum, huyu alikuwa mbunge wa morogoro. na ndio maana viwanda vingi vilijengwa morogoro
huu mpango ulipewa support na waziri wa fedha wa wakati ule amir jamal, msuya alihudumu kwa miaka miwili tu do akatujazia wapare idara ya kodi na bandarini akaweka lami hadi kwenye boma lake na nyerere akamweka kando