Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Alikua na undugu na Duncan Butinini?Mzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia .
Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa mheshimiwa msigwa .
Rest easy baba
Ndio mkuu walikua nduguAlikua na undugu na Duncan Butinini?
Aisee we kweli unamkumbuka mwambaHuyu ndio polish aliyepokea mwili WA RC Kreruu baada ya kuuliwa na Mwamwindi siku ya Xmas 1972
Picha sina mkuu ila taarifa ipo sahihi ni kweli ameaga duniaWeka picha mkuu
Huna pictureMzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia .
Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa mheshimiwa msigwa .
Rest easy baba
Sina mkuu wangu. Alikua jembe hatar na mala ya mwisho kumuona ilikua mwez February hapo iringa akiwa anasalimiana na igp mstaafu siroHuna picture
Jenipher Butinini, alishawah nitunuku enzi hizo nipo early 20s.Pia ndie Babake Duncan Butinini na mkwewe kasaloo kyanga
RIPMzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia .
Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa mheshimiwa msigwa .
Rest easy baba
Dugu mojaHivi alikuwa na uhusiano wowote na aliyekuwa mshambuliaji nguli wa timu ya soka ya Reli ya Morogoro wakati ule ilipokuwa inajulikana kama kiboko ya vigogo au ni mfanano wa majina tu?
Kumbe!Huyu ndio polisi aliyepokea mwili WA RC Kreruu baada ya kuuliwa na Mwamwindi siku ya Xmas 1972